Ni jambo la kushukuru Muumba maana hakuna ulimwanguni warembo zaidi ya wa Afrika. Picha mbali mkbali zina shuhudia hilo,
Ma taifa mengine yanatamani sama kupata viumbe kama wa Afrika ila ni jambo haliwezekani. Wewe kama dada wa Afrika jiskie kuwa juu sana na utukuze Muumba wako kwa upendo wake hadi akakufanya uwe Muafrika . Kwa hio waweza tutumia picha yako tuiweke pamoja na warembo wengine... Asante.
Monday, 5 September 2011
AFrica na utajirti wake
Ma milioni ya watu toka nchi za bara nyingine hutamani waje ishi na warembo wa Africa
No comments:
Post a Comment